Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo sijui kaimba nani,
Kama vile banana zolo lakini nimeutafuta YouTube siuoni Labda nakosea jina la wimbo, anaimba

'Sogea nikushike mkono,Sogea nikushike kiuono,Sogea tuonge,tuzungumze nakupenda baby'
Sogea nikushike kiuno,Sogea nikushike mkono,Sogea tuongee tuzungumze nakupenda saana'
 
Attachments

Wazee kwema umu ndani?naomba mwenye wimbo wa bima taarab.uliimbwa na ally tajiruna .NAKUAHIDI MPENZI SIWEZI KUKUEPUKA.ONDOA YAKO MAJONZI.MOYONI NIMEKUWEKA.NATANGULIZA SHUKURANI

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Kuna ule wimbo beat yake inaenda dum dah dum dum dah pum pum pa pa pa tu pa tu pu pu
Nani anaufahamu
 
Wakuu huu Mimi natafuta wimbo huu wa jamani sana maneno yake yanaimba hivi:- Mama mdogo alinichukua kijijini alimuahidi mengi Dada yake, yakwaba atanisomesha na kuyajari maisha yangu ya baadae ,Tulipofika mjini akanigeuzia kibao.
Wakuu kwa yeyote atakae nifanyia msaada nikaipata nipo tayari kuchagia bando anicheck WhatsApp 0683 965 391 Asante ni
 
Nautafuta sana wimbo wa Mchizi Mox ft. K-lyn- Nataka nicheze nawe... mwenye nao afanye kuuweka tafadhali
 
natafuta nyimbo mbili za NASH MC..... DIZONGA; MUAMUZI. plz yeyte mweny nazo
 
Wakuu mwenye ule wimbo wa Cosmas Chidumule unaitwa Wanahitaji neno la Mungu mwenye nao nauomba halafu Ani tag aliimba baada ya kuokoka
 
Back
Top Bottom