Natafuta wimbo wa marehem Cool James dando - mpenzi
Unaaiitwa MajiraniChakula kipo wananipa makombo
Kuna wimbo sijui kaimba nani,
Kama vile banana zolo lakini nimeutafuta YouTube siuoni Labda nakosea jina la wimbo, anaimba
'Sogea nikushike mkono,Sogea nikushike kiuono,Sogea tuonge,tuzungumze nakupenda baby'
Sogea nikushike kiuno,Sogea nikushike mkono,Sogea tuongee tuzungumze nakupenda saana'
huu ukipatikana na original yake sio mbayaumepotea - Banza stone ft Malow stonchi
KleptomaniaxNa huu mwenye nao atuwekee, siujui jina ila jamaa anaimba
"Wanamangana Kila siku Kama mambuzi" ni mkenya huyu jamaa
mwenye nyimbo ile ya Filamu ya moyo naiomba wazeeHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.