Wakuu msaada tafadhal
kunya nyimbo flan ilikuwa inapigwa sana kwenye vipind vya mchana(redio nmesahau)...WANAIMBA HIVI"AAII KONGOLAHEE,AAI SHELELE LANJARO" cjui kama nmepatia ila naomba hata jina
 
Natafuta kwaya ya HUMANN (Huduma ya Mahubiri Nyumba kwa Nyumba) iliimbwa na Kwaya moja Dar miaka ya 1980+
 
Natafuta wimbo wa Katoliki ulikuwa unaimba ivi;
PENDANENI, PENDANENI,
KAMA NILIVYOWAPENDAAA
NANYI PIA,
NANYI PIA MPENDANE.
Natanguliza shukrani..
 
Kuna wimbo wa bongofleva sijuhi kaimba nani lakini kuna wakati wanaitikia kwa kusema ".. kumbe ye ni gwiji" Nataka kujua kaimba nan??
 
Nautafuta wimbo wa soggy doggy anter
Unaimbwa hivi...

Nikisema I love you, sema I love you too
Nikisema I need you, sema I need you too
Alalalalalalal mimi nawe tuuu
 
Wakuu msaada tafadhal
kunya nyimbo flan ilikuwa inapigwa sana kwenye vipind vya mchana(redio nmesahau)...WANAIMBA HIVI"AAII KONGOLAHEE,AAI SHELELE LANJARO" cjui kama nmepatia ila naomba hata jina
inaitwa shebeleza okongo mame
 
Natafuta nyimbo flani nliwahi kuiskia kwenye radio mwaka jana 🙁chorus)

"Mimi sijali hata wakiongea
Mimi sijali maneno yao."
 
Alikiba na msanii frani simjui jina anaimba nilinge nae nicheze nae awe na mm,lolololo sheleshele mwacheni aimbe nyimbo nzuri ntaipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…