Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo waliimba THT kipindi kile unaimba "daima na milele milele, kwani mapenzi yetu yamekuwa ya kweli"
 
Habari wa kuu, kunawimbo wa machozi band kwa jina siujui , nimejaribu kuutafuta kwa lyrics zake bila mafanikio , kwa anayeujua naomba anisaidie . Baadhi ya maneno ya wimbo huo ni haya "moyo ni nyama tupu , ukioza wapotea haibaki mifupa , nakukabidhi uutunze" inawezekana lyrics sijapangilia vizuri , natanguliza shukrani
Huo hpo
 
Attachments

Kuna wimbo nautafuta mpaka leo sijajua ni nani ila ulikuwa unapendwa kupigwa Sana TBC kipindi cha jioni cha miziki, alieimba ni mdada sijui jina lake, anamwimbia jamaa kwamba , " napotapata mpenzi wangu haupo wala sikuoni, bicoz i love you", harafu ghafla anatoka ndani ameshika kashikilia mabaloon au maputo akakimbia nayo mpaka Maeneo ya baharini akafika pale akayaachilia yakapaa angani!?

Nb: nahisi ntaupata kwa kuambiwa jina tu
Erica lulakwa-close to u. Utafute utaupata
 
Jamani mie natafta nyimbo zilizokua kwenye album ya mwaka 1995 ya captain komba na wenzie
1-muongo
2-nyumba ya jirani yetu inateketea moto, twende tukazime
3-tukazane kuomba
Nanyingine zilizokuwepo kwenye hiyo album nazitafta sana bila mafanikio! Naomba kusaidiwa.
 
Natafuta nyimbo flani hivi ilikua ni opening song kwenye tamthilia flani ya kihispaniola...ilikua inaoneshwa kama sio itv basi channel 10(mwanzoni kuna gitaa zinapigwa vzuri sana)...hata jina tu nitautafuta mwenyewe
 
Kifupi hakuna software maalum ya kupata nyimbo nyingi za kale zaidi ya tbc......

nyimbo nyingi hata shazam hazipo.

Kuna wimbo nadhani kama si wa monique seka sijui!?

Jina la wimbo silijui ILA inaanza beat..,...kama sek 45... Halafu .....Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooo isambe na maraaa..........uuuuuuuuuuuuuuuu.

Sijui jina la huu wimbo wa oldies niupakue..,anaejua tovuti nzuri ya kupata oldies ashee hapa jamani
 
wakuu kuna wimbo mmoja wa buju banton unaitwa fight for your rights kama kuna mwenye access nao naomba msaada
 
Kifupi hakuna software maalum ya kupata nyimbo nyingi za kale zaidi ya tbc......

nyimbo nyingi hata shazam hazipo.

Kuna wimbo nadhani kama si wa monique seka sijui!?

Jina la wimbo silijui ILA inaanza beat..,...kama sek 45... Halafu .....Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooo isambe na maraaa..........uuuuuuuuuuuuuuuu.

Sijui jina la huu wimbo wa oldies niupakue..,anaejua tovuti nzuri ya kupata oldies ashee hapa jamani
Vidmate

Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
 
Naombeni mniwekee wimbo wa dady Yankee..Gasolina please
 
Kifupi hakuna software maalum ya kupata nyimbo nyingi za kale zaidi ya tbc......

nyimbo nyingi hata shazam hazipo.

Kuna wimbo nadhani kama si wa monique seka sijui!?

Jina la wimbo silijui ILA inaanza beat..,...kama sek 45... Halafu .....Amiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiioooooooo isambe na maraaa..........uuuuuuuuuuuuuuuu.

Sijui jina la huu wimbo wa oldies niupakue..,anaejua tovuti nzuri ya kupata oldies ashee hapa jamani
monique seka_okaman

Utafute upo youtube
 
Naimani ni huu kama nimekupata
 
Back
Top Bottom