Bwana Mrefu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 408
- 996
Inawezekana ikawa ni Kenny huyohuyo kwa sababu nyimbo zake huwa kama zinafanana na ni instrumemtals tuUkiachana na nyimbo hii ya Kenny G ya forever in love kuna nyimbo nyingine inapigwa trumpet inawekagwa kwenye kipindi cha usiku cha radio nahitaji kuijua
YouTube upo, inawezekana pia kwenye hii thread upo, kama utakuwa haujaupata kesho nitakuwekea kama nitakuwa nao huo wa Mbaraka.Natafuta wimbo ulioimbwa na Mbaraka Mwinshehe wa Super Volcano unaoitwa "Tabia Njema ni Silaha" Kuna clone iliyoimbwa na binti ya haina ladha nzuri, halafu kuna mtu alipost kipande kifupi pale Youtube ambacho hakitioshi. Nautafuta wimbo wote
Uliopo Youtube umeanzia katikati. Ninataka wote kuanzia mwanzo.YouTube upo, inawezekana pia kwenye hii thread upo, kama utakuwa haujaupata kesho nitakuwekea kama nitakuwa nao huo wa Mbaraka.
Huo alioimba Mbaraka nilionao ni kama huo wa YouTube, aujaanzia mwanzo, jamaa uko YouTube wamemuomba awawekee uliokamilika naona amekuwa kimya!Uliopo Youtube umeazia katikati. Ninataka wote kuanzia mwanzo.
Huu uliimbwa na binti yake Taji Mbaraka, siyo mzuri kama ule original aliotoa Mbaraka mwenyewe.Huo alioimba Mbaraka nilionao ni kama huo wa YouTube, aujaanzia mwanzo, jamaa uko YouTube wamemuomba awawekee uliokamilika naona amekuwa kimya!
Nakuwekea uliorudiwa nao ni mzuri, natumaini utaufurahia wakati kama kutakuwepo na member mwenye wimbo wenyewe wa Mbaraka uliokamlika.
Sijui waliimba nani ila nilikuwa nimeandika DDC Mlimani Park Orchestra lakini sidhani kama ni DDC waliourudia. kabda kama kuna member anaweza kusaidia ni bendi gani uliurudia huu wimbo.
View attachment 2481706
Nafikiri naujua; hebu sema maudhui yake ni wimbo wa kutokea pande zipi za dunia.Kuna wimbo natafuta sana unaanza hivi tururutururu ntantantanta......sijuwi ni wimbo gani.
wow, thanks!
Siku hizi Tanzania hakuna muziki kabisa pamoja na kutumia kompyuta na electronics nyingi. Wanazamuziki wote Tanzania leo ni wababaishaji tu; utasikia wanajaribu kurembua sauti zao kuimba ziwe nyororo badala ya kuzitoa zote kwa ufundi kama walivyokuwa wanafanya majamaa haya ambayo hayakuwa na computer yoyote wakati huo.
ukiupata unipatie na mimiHuu uliimbwa na binti yake Taji Mbaraka, siyo mzuri kama ule original aliotoa Mbaraka mwenyewe.