Kuna wimbo wa injili wa wale mabinti wanaitwa J Sisters unaitwa "achilia roho wako" nautafuta bila mafanikio, maana hata kwenye YouTube yao haupo.
 
Kuna wimbo mmoja nliuskia unapigwa ea radio juzi jpili uyo alieimba ameimba kwa lafudhi ya kichaga yaan kama anaongea hz af biti afu anaelezea kuwa kuna siku walikua wamelewa yaan anelezea mambo ya uko rombo rombo sjui arusha ni ngoma flani ya taratiiibu hv
 
Kama hujaupata sema nikupe haraka...
 
Basi sijaona kama umeupata, Unaitwa MI NTAWEZA nita u upload baadae siku ikiisha.
 
Naomba hii...nipende hivi nilivyo mi msela...Tundaman kama sikosei
 
Natuta wimbo mpya wa stamina ft sijui kaimba na unaitwa unaniliza
 
Naomba wimbo EKIBINDANKOI, ule wa miaka ya 90-2000, unamchanganyiko wa maneno ya kiswahili na kikongo nadhani. Mojawapo ni EEE MWANA MIAE MWANA KALETA MUZIKI MWANA MIAE, nautafuta sana
 
Sio Fred Saganda kweli,ila jina la wimbo sikumbuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…