ERASTONONI212
New Member
- Feb 23, 2023
- 1
- 0
Unaitwa chonde chonde umeimbwa na NuruelyNenda YouTube search Alicom - Selina
Makavu live feat dulayo na joslin - funguaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Jamani huo wimbo wa wawili haupatikani tuwanene wembambaau sofa za marehemu!natafuta wimbo wa bhoke wanne ontighire omwene
Jamani huo wimbo wa wawili haupatikani tuwanene wembambaau sofa za marehemu!
Ndugu wakuu ina maana hakuna mtu aliyewahi kuusikia wala kuufahamu huu wimbo anisaidie please?
View attachment 2632245 Wadau natafuta beat zingine zilikuwa kwenye albamu hii zote zilikuwa zinatumika Sana kwenye masherehe miaka ya 95 hadi 2,000 nimezimiss Sana na nimezitafua bila mafanikio nimepata hii moja tu nahitaji zote zilizokuwemo kwenye albamu hii, hata mwenye moja au mbili anisaidie ndugu zangu
Wadau nahitaji msaada wa kupata beat zingine ambazo zote zilikuwa kwenye album hii zilitumika Sana kwenye masherehe miaka ya 95 hadi 2000 zote zilikuwa ni beat tu, nimebahatika kupata moja tu ambayo ndiyo hiyo mnaisikia, naomba ambae nazifahu nanisaidie wapendwa..hata kama ni jina la album aniambie maana hata jina silifahamu nazikumbuka tu beat zote, naombeni msaada wenu wadau,