Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo mmoja unaitwa wanene,wembamba waliimba machalii flani wanaitwa war will
 
Wimbo flan ambao umeibwa kuisifia Zanzibar na aliyeimba cjajua km mzungu au nani,

mistari ya chorus inaimbwa hvi
"beautiful part of Africa, Zanzibar ooooh Zanzibar, Zanzibar ooooh Zanzibar

Natamani Sana niijue BT Ni nyimbo ya muda kidogo
Anaitwa Sipho Mabuse, ni msouth km sikosei..u download upo you tube
 
Wimbo flan ambao umeibwa kuisifia Zanzibar na aliyeimba cjajua km mzungu au nani,

mistari ya chorus inaimbwa hvi
"beautiful part of Africa, Zanzibar ooooh Zanzibar, Zanzibar ooooh Zanzibar

Natamani Sana niijue BT Ni nyimbo ya muda kidogo
Sipho Mabuse-zanzibar
 
Mkuu usinichoke, nimenogewa. Naomba Nyimbo hizi ikiwezekana..,.... Mungu awabariki sana
FANUEL SEDEKIA. == pasipo maono watu huacha kuzijuia

MKC ,,MWANANYAMALA KISIWANI.== ..Fanya kitu kipya moyoni mwangu.

EVER SHINE KWAYA, (KIMARA). == Bwana Mungu, kweli wewe wa ajabuu, unatuwazia mawazo yaliomema.
 
Kuna kaswida flani hivi mwimbaji wala jina la kaswida silijui.....

Ila unaimbika hivi "utakwenda peke yako kaburini ukakae wende ukalale chiniii adbabu ikuvae, yu wapi baba yu wapi mama yako leooo...."
 
Back
Top Bottom