Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna Nyimbo ameimba Usher Raymond na inaonekana siyo ya siku nyingi Sana na anaimba then kuna kipande beat inasimama na anataja jina """Karrueche """ (jina LA mpenz Wa Chris Brown Wa zaman) kisha anaendelea kuimba
 
mkuu habari za mchana mm nilikua naomba mtu mwenye nyimbo zifuatazo;khadija fm academia,mto wenye mamba wengi mchinga sound,nguzo tano za mapenzi mchinga generation,ndoa ya lazima juma kakere,visa vya baba mkwe t.o.t plus,bana beta beta musica,madaraka ya jikoni nina musica na ule wa fm academia jina limenitoka lakini unaimbwa;selina wangu macho kama japanise nakuimbia leo mapendo ni moja,machozi yangu inatoka kama mvua,nikizipata hz ntatoa zawadi aisee
 
Tule tu nyimbo tote twa Mch Lusekelo natafuta sana nipate nyimbo kama nyimbo.zinaimba oooh Sayuni Sayuni ooooh Sayuni.Kwa imaniiiiii tutashindaaa....kwa imaniìiii tutashinda.
Mwenye anaweza nisaidia please
 
Kuna wimbo unaitwa tulia nami wa ngoni tribe wa kitambo sana
Ulikuwa unaanza hivi
" nilipoanza kukujua wee nilichanganyikiwa mambo mengi nilikupa huku wew ukifurahia...."

Mwenye nao please
 
Back
Top Bottom