Mafta taa mftaa taaa yamemwagika yamemwagika...Kumbe wanauza....usiseme iv0
 
Ni sisi baba zao na mama zao tuliokuwepo hapa

Sisi ndo tunao watoto wote mnaowaona huko

Twaomba muelewe ni kwamba tumeshakuwa watu wazima sasa


Ufupi sio hoja hata huko kwenu kuna wafupi


Mwenye goma hili puliz
 
"Vinagombana vikombe iweje sis waja sina raha hata chembe hata km nimekuudh niambie wap nilikosea"


Uliimbwa na jamaa anaasili ya kihind stail yake alikua anaiita bongobangla

Mwenye hako kanyimbo puliz
 
jamani natafuta wimbo wa nikki mbishi,sterio,one cridible-clasic materio toleo la kwanza achana na ule aloshirikishwa fid q
 
Huo wimbo umeimbwa na bendi iliokuwa inajulikana kama MCA International wana MUNISANDESA ambao ndio ulikuwa mtindo wao. Maana ya Munisandesa ni Muziki ni safari ndefu sana.
Unawafanaisha na Washirika kwa sababu wanamuziki wengi waliounda hiyo bendi walitokea Washirika.
Mimi huo wimbo sina na nautafuta sana ila ninazo zifuatazo kwenye album hiyo;
1. Kasoro yangu sijaijua
2. Shida
3. Mla kunde
 
Mkuu naomba huo wimbo na. 1 kama hutajali.

'Kasoro Yangu Sijaijua'
 
Hahahahahaha daaaaah hata hizo naziomba ndg yangu..... hiyoo mla kunde nimekumbuka mbali mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…