Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo wa "Lisa nisikilize mami sichomoki na masista duh....." Sijuhi uliimbwa na nani. Ila najua sehemu mistari yake ndo hiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu hapa
Zuchu Nani ndio Unaitwa hi yoMafta taa mftaa taaa yamemwagika yamemwagika...Kumbe wanauza....usiseme iv0
Ni gk si east kostEast coast - Simba wa Africa
Huu nimeufuatilia naona hakuna mdau anajuaJaman wimbo wa chawa na panya...kama unao au unamjua msanii aliyeimba
ASANTE japokuwa kwangu link haionekani.
Unatumia app bila shaka, hiyo sio link ni direct audioASANTE japokuwa kwangu link haionekani.
Huo wimbo umeimbwa na bendi iliokuwa inajulikana kama MCA International wana MUNISANDESA ambao ndio ulikuwa mtindo wao. Maana ya Munisandesa ni Muziki ni safari ndefu sana.Samahani wadau
Nautafuta wimbo wenye mashairi yafuatayo.
" Nguo chakula malazi ni buree, uliona raahaa, saasa mambo yamebadilika unatafuta mwenyewe umepata wakukutunza ni heri uishi nae,
Kwani maisha ya sasa uhuni hauna maana wazazi wako ni waungwana utawaletea aibu uu"
Wimbo nautafuta saaana, hata bend iliopiga nimeisahau sijui ni washirika Tanzania stars au Marquis original
Mwenye nao pliiiiz
Mkuu naomba huo wimbo na. 1 kama hutajali.Huo wimbo umeimbwa na bendi iliokuwa inajulikana kama MCA International wana MUNISANDESA ambao ndio ulikuwa mtindo wao. Maana ya Munisandesa ni Muziki ni safari ndefu sana.
Unawafanaisha na Washirika kwa sababu wanamuziki wengi waliounda hiyo bendi walitokea Washirika.
Mimi huo wimbo sina na nautafuta sana ila ninazo zifuatazo kwenye album hiyo;
1. Kasoro yangu sijaijua
2. Shida
3. Mla kunde
Hahahahahaha daaaaah hata hizo naziomba ndg yangu..... hiyoo mla kunde nimekumbuka mbali mnooHuo wimbo umeimbwa na bendi iliokuwa inajulikana kama MCA International wana MUNISANDESA ambao ndio ulikuwa mtindo wao. Maana ya Munisandesa ni Muziki ni safari ndefu sana.
Unawafanaisha na Washirika kwa sababu wanamuziki wengi waliounda hiyo bendi walitokea Washirika.
Mimi huo wimbo sina na nautafuta sana ila ninazo zifuatazo kwenye album hiyo;
1. Kasoro yangu sijaijua
2. Shida
3. Mla kunde
Ulipata hili litungu?!natafuta wimbo wa bhoke wanne ontighire omwene