Daaaaah umenikumbusha Radio one kila jumamosi asubuhi
 
KIOO
Nilikua natafuta SOUNDTRACK ya movie ya MY DARLING ya Mussa Banzi ndani ya movie kaimba yule KIPOFU aliitwa TAFU
Eeebwana eeeh lile Beat sijui alinyonga P FUNK MAJANI
Maana ni balaa nikikumbuka.
Natanguliza Shukrani
 
Nazitafuta hizi audio
1. Philbert kabago dear
2. Norichiko nimemfukuza wangu mpenzi
3. Na wimbo mwingine unaimbwa "ni rafiki tu mbona manzi yupo hata yeye anamjua ni rafiki tu"
 
Natafuta wimbo wa kwaya...

SIJUI Jina lake...
Unaimbwa na kwaya za kilutheri....
Baadhi ya maneno.....mimi na wewe leo wazima hiyo ni neema......imetupasa kushukuru mno kwa neema yake......wenzetu wamekosa nini na sisi ni nani.....jambo hili ni jambo la neema tu.....Julie ufikiri.....tunastahilishwa kwa neema......
 
Natafuta nyimbo ilikua inapigwa na zamaaani radio tanzania n ya watoto inaimbwa hiviii
" watoto wasafi moyoni n nyota za wazazi sisi ni maua tuliopandwa na Mungu mwenyeziiiii lalalalalala lalalalaaaaaaa lalalaaaaa""
Your browser is not able to play this audio.
 
Naomba anaye ufahamu wimbo wa mnanda wenye maneno haya kwenye kibwagizo"baba zulula siyo kweli bwana wee!mtoto umezaa mwenyewe usimchoke bwana ooo!Ayaa njooo,njooo,njooo".

Nauomba.
 
Oi, huu wimbo bado haujaupata?
 
Msaada jamani, Mungu hapendi apotee-Glory Temple Tabata. Kila nikitafuta unapatikana pacha yake Tafakari Njia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…