Hizi jingle Huwa naisikia sana Radio Tumaini yaani mpaka kesho natafuta wimbo wake. Vipi ulifanikiwa kuujua.!?Huu hapaaa, Naomba jina lake au Full mp3 hata kama ni beat tu. View attachment 2666742
Nilikosa boss, ukiupata nijuze basi.Hizi jingle Huwa naisikia sana Radio Tumaini yaani mpaka kesho natafuta wimbo wake. Vipi ulifanikiwa kuujua.!?
Asee nimekumbuka maisha ya sekondari kwani huu wimbo ulipigwa sana katika mahafali yetu vipi iliupata mkuu?Huu hapaaa, Naomba jina lake au Full mp3 hata kama ni beat tu. View attachment 2666742
Sijaupata mkuu, ukiupata nambieAsee nimekumbuka maisha ya sekondari kwani huu wimbo ulipigwa sana katika mahafali yetu vipi iliupata mkuu?
Mkuu huu ninao,ngoja nipekue kwenye mafailiHizi jingle Huwa naisikia sana Radio Tumaini yaani mpaka kesho natafuta wimbo wake. Vipi ulifanikiwa kuujua.!?
Utakuwa umesaidia sana.Mkuu huu ninao,ngoja nipekue kwenye mafaili
Pekua ulete mkuu, uniquote kabisa.Mkuu huu ninao,ngoja nipekue kwenye mafaili
Huu hapa mkuuPekua ulete mkuu, uniquote kabisa.
Pata burudaniUtakuwa umesaidia sana.
Mkuu Shukrani nyingi sana Kwako. Nimeutafuta sana huu wimbo. By the way nani aliyefanya huu wimbo!?
Swali zuri, huwa natamani kujua zaidi juu ya huu wimbo.Mkuu Shukrani nyingi sana Kwako. Nimeutafuta sana huu wimbo. By the way nani aliyefanya huu wimbo!?
Huwa sijui jina la band au wanamuziki.lakini najua ni wasouth.Mkuu Shukrani nyingi sana Kwako. Nimeutafuta sana huu wimbo. By the way nani aliyefanya huu wimbo!?
Jiji umelikimbilia kwa pupaNatafta wimbo wa songs of lawino by okota bitek na beat lake pia