Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Huo hapo…
IMG_3518.png
IMG_3517.png
 
Kuna nyimbo naitafuta sana ila kila nikigugo au hata Youtube nikijaribu kundika nachokumbuka hakuna kinachokuja; niliusikia kw 2004 au 2005 ivi.

Baadhi ya verses zake ni ivi

" Pombe twainywa kwa glasi hata kwa chupa pombe twainywa kwa glasi hat kwa chupa...nipeni ninywe...." ckumbuk muimbaj kabisa ni nan cjui Q Chief cjui nani.

Naomba mnisaidie.
Pole
 
Naomba mimbo ya kihindi(LOVE SONGS) iliyoimbwa kwa kiingereza mfano wa huu MY WISHES COMES TRUE kutoka katika film inayoitwa "KISNA"
 
Hasidi mtu mbaya nawaambia kesho mbele ya Mola atasema nini. Anapita majumbani kueneza fitina, na kusababisha majirani kutoelewana........
PLEASE mwenye huo wimbo au anaejua jina lake , anisaidie. Sina hakika kama nimepatia mistari.
 
Kuna nyimbo ya zamani naitafuta imeimbwa na mdada mmoja ndani ina mstari unaimbwa "ofisa ofisa, kila mtu anakuhitaji, katika dunia hii...." Naombeni mwenye anaijua anisaidie
 
Back
Top Bottom