Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Mimi mwenyewe nimeutafuta Sana bila mafanikioNaomba wa kimondo band jina Neli wangu
Nauhitaji pia
Mara ya mwisho nimeuskia capital radio na Radio one
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi mwenyewe nimeutafuta Sana bila mafanikioNaomba wa kimondo band jina Neli wangu
Hapana unaitwa "mimi na wewe"Wanaitwa ngoni_ sindimba ft lady jay dee
Kleptomaniax walioimba tuendelee ama tusiendelee... Kolo, Nyashiski n Co.nautafuta sana huu wimbo una maneno haya'' swing swing mziki ni bomba,,,,,ww rafiki acha kuzubaaa dada amshaaaaa hizo ni kachaaaaaa''
Ukiukosa nistueHabari mkuu! Naomba uweke wimbo Risa wa R. Tonny.
Tuma voicenote.. japo melody ya wimboKuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba mwenye kujua jina la wimbo huo na waimbaji anisaidie
ok naomba unijuze ya sophia hata moja.Sophia George hajawahi kuimba wimbo huo,ni Wahindi wa Bongo ndio walifanya kitu kibaya sana kwa tamaa zao za utajiri walichukua albamu ya msanii mwingine na kuweka picha ya Sophia George kwenye hio albamu wakawa wanauza kama albamu ya Sophia George.ukweli ni kwamba albamu yote ile haikuwa ya Sophia George,ilikuwa ya msanii mmoja anaitwa EVI EDNA OGHOLI,kutoka Nigeria ameibiwa sana huyu dada na watu wenye tamaa. Msachi YouTube utaziona nyimbo zake zote ulizo zisikia kwenye ile albamu.
Mchanga wa Macho Ay ft Banana na GKKuna bongo flava moja kiitikio chake kina lyrics zifuatazo
"Nilijaribu kukupenda lakini kumbe ilikuwa changa la macho, kwanini umeamua kulisaliti langu penzi, sikujua"
Aneujua anitajie jina na msanii alieuimba
Ni kweli na ndio leo nimelijua hilo... Hawa wahindi walishaniingiza chaka kwa kuchukua nyimbo za wasauzi na kuzipa jina la wanamuziki wa Reggae Provebial nilihangaika sana kuzipata.Sophia George hajawahi kuimba wimbo huo,ni Wahindi wa Bongo ndio walifanya kitu kibaya sana kwa tamaa zao za utajiri walichukua albamu ya msanii mwingine na kuweka picha ya Sophia George kwenye hio albamu wakawa wanauza kama albamu ya Sophia George.ukweli ni kwamba albamu yote ile haikuwa ya Sophia George,ilikuwa ya msanii mmoja anaitwa EVI EDNA OGHOLI,kutoka Nigeria ameibiwa sana huyu dada na watu wenye tamaa. Msachi YouTube utaziona nyimbo zake zote ulizo zisikia kwenye ile albamu.
Nyimbo maarufu ya Sophia George inaitwa "Girlie Girlie" ambayo hum imeisha wekwa,e.g. icheki YouTube ipo aliitoa mwaka 1984ok naomba unijuze ya sophia hata moja.
Mkuu, nisaidie kama kuna uwezekano huo.Ukiukosa nistue
ok. hautalala bila kuusikia.. nitakuongeza na nyimbo yake nyingine yakuitwa ChumbaniMkuu, nisaidie kama kuna uwezekano huo.
Sijui kama ni sehemu yake sahihi naweza kuomba nyimbo ya injili nikapata?Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Shukrani sana mkuu. Alafu kuna wimbo niliusikia sana kati ya 2010 na 2011, nakumbuka kiitikiook. hautalala bila kuusikia.. nitakuongeza na nyimbo yake nyingine yakuitwa Chumbani
Shukraan jamaa! Kuna na lile lingine linaitwa UKWAJU WA KITAMBOHaya Link ya Group la Nyimbo za Zamani za Bongofleva.. TELEGRAM!!
![]()
OLD BONGO FLEVA🎤🎧🎼📻
HILI NI KUNDI LA NYIMBO ZA ZAMANI ZA BONGO FLEVA TU!!! - NYIMBO ZA MIAKA HII,STORI,LINK AMBAZO HAZIHUSIANI NA MAUDHUI YA KUNDI HAZIHITAJIKI. -OMBA NYIMBO...WEKA NYIMBO...PIA MUADD RAFIKI NA JAMAA SIO MPAKA ADMIN.t.me
Habari wandugu,natafuta ngoma moja kali sana ya one the incredible-mlimbwende rmx,ni ya muda kidogo,nitashukuru.