Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Imba kidogo
Kuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba mwenye kujua jina la wimbo huo na waimbaji anisaidie
 
Kuna wimbo nautafuta, sijui unaitwaje ila ni wakitambo kidogo, na waimbaji ni mdada mmoja mwenye asili ya Asia, (china/Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa ,naomba mwenye kujua jina la wimbo huo na waimbaji anisaidie
Nenda google help, uliza 'what is this song' itaanza kukusikiliza. Uanze kuiimbia sasa. Kama lyrics huzijui, unaweza hata kupiga mluzi tu. Mhimu ile melody.
 
Natafuta wimbo ulioimbwa na dada mwenye asili ya Asia (china, Korea au Japan) akishirikiana na jamaa mmoja mwenye asili ya Africa,jina la wimbo na waimbaji siyakumbuki, mwenye kujua jina la wimbo na waimbaji anisaidie tafazali
 
Uuuyeh, i wish Jappy Birthday... mimi hiyo.. ila kama alivyotangulia mdau kama alb inapayikana ipatikane tuu
Sophia George hajawahi kuimba wimbo huo,ni Wahindi wa Bongo ndio walifanya kitu kibaya sana kwa tamaa zao za utajiri walichukua albamu ya msanii mwingine na kuweka picha ya Sophia George kwenye hio albamu wakawa wanauza kama albamu ya Sophia George.ukweli ni kwamba albamu yote ile haikuwa ya Sophia George,ilikuwa ya msanii mmoja anaitwa EVI EDNA OGHOLI,kutoka Nigeria ameibiwa sana huyu dada na watu wenye tamaa. Msachi YouTube utaziona nyimbo zake zote ulizo zisikia kwenye ile albamu.
 
Habari wadau, kuna wimbo uliombwa na mdau muda kidogo nimeshindwa ku-tag comment yake ila wimbo nimeupata. Wimbo unaitwa maisha kigeugeu wa bendi ya MCA International wana MUNISANDESA.
Ni wimbo wa dansi wa zamani nakumbuka ulitoka mwaka 1991.
Kama mtakumbuka haya mashairi "kwani maisha ya sasa uhuni hauna maana litakupata la kukupata, uijutie dunia " Basi wimbo wenyewe ndio huu.
 

Attachments

Habari wakuu.

Kuna wimbo niliusikia miaka ya 2010 Haya ndio majibu yako pamela uyapokee ( uyasikie na uanze maelekezo)

Siukumbuki ila mwenye kuufahamu Msaada Tafadhali.

🙏
 
Back
Top Bottom