Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo wa Franco jina siujui ila kwenye kiitikio kuna maneno "aaaaah aaaaah " ni mrefu na una sebene la kutosha!
 
Nnashida na wimbo mmoja uliimbwa na Band ya Tam Tam unaitwa chande..Mwinjuma Muumini akiwa ndani mwenye nao naomba anisaidie
 
Asante ila hapana siyo huo. Huo unaitwa Jonita na ndiyo title ya wimbo. Huu nnaotafuta sidhani kama unaitwa joanita ila chorus yake inaimbwa tu hivyo
kama unaikumbuka melody ya chorus yake jirekod unicheki nayo.
 
Kuna ule wimbo dogo anachana manzo wa movie ya beats of no nation, naitafutaga siipati, dogo alkua anapiga akapela vile mtu huez hata shazam
 
Kuna wimbo zilipendwa jina umenisahau ila wanaimba "Watapata shida Watapata tabu kuiondoa ridhiki" nakumbuka tu hayo maneno. Mwenye kuufahamu au mwenye nao naomba anisaidie.
 
Wadau nashindwa kudownload hii nyimbo msaada please iwe audio
 

Attachments

  • Screenshot_20231016-200204.png
    Screenshot_20231016-200204.png
    77.2 KB · Views: 12
Nataka kupata episode za tamthilia ya brothers(cador dalisay) kwa tafsiri ya lugha ya kiswahili kama zilivyo kwenye star tomes swahili tv.
Nipitie njia ipi?
 
Wadau! Mambo vipi? Kwa anayefahamu channel telegram yenye nyimbo za bongo za zamani, anisaidie
 
Wadau! Mambo vipi? Kwa anayefahamu channel telegram yenye nyimbo za bongo za zamani, anisaidie
Kwa mwenye uhitaji wa nyimbo za zamani (1990 - 2010) za Bongo Flavor anicheki kwa namba hizi 0682277495 nitamuunga katika magroup ya maktaba ya nyimbo hizo.

Tumia no hizo kwa WHATSAPP / TELEGRAM ONLY
 
Back
Top Bottom