sam oldskool
Member
- Oct 17, 2014
- 18
- 5
Wimbo wa Madee Pendo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natafuta wimbo unaitwa Hanifa wa Makassy Orchestra.Makassy Junior - Baba Paroko
Jamani naombeni huu wimbo 😭😭nmehangaika sana kuutafuta nimeumiss sana huu wimboAncle T - Actual Bukoba ni rhumba kali kila mtu analima ndizi nani atalima futari?..... Upo mkuu nitakucheki nao
Missing u- caseMimi natafuta wimbo niliousikia nipo msogo sana.
Sijui unaitwaje na sijui kaimba nani.
Nanukuu.
Aiya iya iya ii! Aiyaooo, aiyaoooo.
Nilijisikia wimbo huu miaka 19 iliopita. Msaada jamani japo link au jina la msanii na wimbo husika.
Chorus inaimba ¶ ...hawatufundishi uwoga ..¶
verse .. mishe mishe ndo zilizofanya tusionane....
Ni hip hop ya Arusha mdada anaimba kiitikio, siku mbuki ni jombii kaimba au chindo .
Mwenye kuijua anijuze pls sana
Huu ni wimbo ulioutafuta sana bila ya mafanikio mkuu.. ?Missing u- case
Haya huu hapa. EnjoyNatafuta wimbo wa Jay Z - just died in your arms. Nimejaribu kutafuta YouTube zinakuja nyimbo tofauti na hii ya Jay Z. Msaada wenu wanajamii
Ule wa juu ni instrumental. Nimeweka huu wenye mashairiNatafuta wimbo wa Jay Z - just died in your arms. Nimejaribu kutafuta YouTube zinakuja nyimbo tofauti na hii ya Jay Z. Msaada wenu wanajamii
Huu hapa. EnjoyWimbo wa Madee Pendo
Daaaah shukrani sana mwanajamii. Hatimaye naisikia tenaUle wa juu ni instrumental. Nimeweka huu wenye mashairi
Kuna wimbo mmoja wa taarab za zamani ulikuwa unapigwa sana kipindi cha uchaguzi Zanzibar, siuji jina lake wala muimbaji anaitwa nani lakini nakumbuka baadhi ya maneno ...Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hebu jirekodi utumie hapa tuskie melody yake please...!Kuna wimbo mmoja wa taarab za zamani ulikuwa unapigwa sana kipindi cha uchaguzi Zanzibar, siuji jina lake wala muimbaji anaitwa nani lakini nakumbuka baadhi ya maneno ...
"Ewe mola, yaa karima yaa manani"
"Twakuoomba yalopiita, yasiruudi visiwani"
"Utujaalie salaaama, ..........."
hao ni nako tu nakoChorus inaimba ¶ ...hawatufundishi uwoga ..¶
verse .. mishe mishe ndo zilizofanya tusionane....
Ni hip hop ya Arusha mdada anaimba kiitikio, siku mbuki ni jombii kaimba au chindo .
Mwenye kuijua anijuze pls sana