Naomba mwenye audio ya zoba WA banana zoro aniquote nao hapa
 
Tafadhali wakuu

Natafuta wimbo wa "hello" wa Lionel richie ule original kabisa video yake inaanza wakiwa darasani.

Natanguliza shukran
 
Kuna lile tangazo la msukuma amepiga wrong number then anatukanana na dem mwisho anamwambia Sikuwowi mwenye nayo naomba aiweke hapa
 
Dah cjui jina
Wala mwimbaji....
Ila kaimba mwanaume na Kiitikio chake kinamameno haya
'Maisha eee maishag
Maisha haya maish..
Ipo siku nami nitayapatia.....
 
Natafuta wimbo uliokuwa unapigwa na diva wa clauds fm kwenye kipindi cha malovee kile cha usiku
 
Remember bob marlay! Reggae prophet
Hiyo album ilikuwa imeandikwa hivyo! Hizo nyimbo zipo youtube ila haizina kiwango! Ubora wake ni mdogo sana
Ntapataje kwenye ubora wa kutosha?
 
mi natafuta wimbo mmoja wa south africa ulikuwa hit song mwanzoni mwa miaka ya 2000. Wimbo wenyewe unaimba wangata akieta so akieta so...
siukumbuki vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…