Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nautafuta sana wimbo wa Uchona, wa Deo Mwanambilimbi mzee wa Goba. Na DDC mlimani park, Maisha ni kuona mbele.
 
Nimekumbuka wimbo mwingine ambao nautafuta bila mafanikio ni wambo wa zamani sana uliimbwa kwa Lugha ya kihaya unaitwa Mkulukumbwi.
 
Mwenye wimbo wa Mr. II aka Sugu amemshirikisha King Kiki "Hapo Zamani" nautafuta.
 
Natafuta wimbo uliokuwa unapigwa(instrumental yake) na diva mtangazaji wa clauds fm kwenye kipindi cha malovee kile cha usiku sjui unaitwaje na umeimbwa na Nani Msaada tafadhali
 
Kuna nyimbo flan ya washkaj walikua wanajiita war will wanamuongelea marehemu. Alaf kuna nyimbo ya jamaa anaitwa Pablo alikua karibu na daz nundaz kaimba na domokaya
Huo wimbo nautafuta nadhani unaitwa ACHA WASEME... harafu mshikaji keshatangulia
 
Natafuta wimbo ila sijui kaimba nani but ngoja niwape melody kidogo muhuskie *siku ulioondokaa, ulianiacha nalia na machozi wee jojinaa, sipati usingizi ....*
 
Natafuta wimbo ila sijui kaimba nani but ngoja niwape melody kidogo muhuskie *siku ulioondokaa, ulianiacha nalia na machozi wee jojinaa, sipati usingizi ....*
Uliimbwa na Marehemu, Marijani Rajabu. Jaribu you tube.
 
Kuna wimbo fulani uliimbwa na Watu fulani ni kama Sokous hivi ndani yake jamaa anasema ''maboko likoloo'' nautafuta sana
 
nami natafuta wimbo wa TOT plus (Khadija Kopa) najivunia kuwa mtanzania... msaada tafadhari....
 
Jina silijui lakini kuna sehemu anasema "Umeniacha kwenye usiku wa giza nene...na mvua kubwa ya mawe yenye hasira"Zilipendwa
 
Back
Top Bottom