1.Makongoro-Dereva kalewa Pombe
2.Makongoro-Afya bora Kuleni kuku mayai nyama Samaki maziwa.
3.Unique sisters ft mac d-Bounce
4.GK ft Fina Mango-Mama
5.Soggy ft unique sisters- I luv u 2.

[emoji115]Hakuna hata mmoja mlioweka.
 
Jamani nimeutafuta huh wimbo ila simjui mtunzi ,inaenda hivi SIJAFANYA makusudi usinde njaa,ndio maana unataka kuondoka.wakuu nimeutafta sana nani anamjua mtunzi?
 
MR PAUL FT SQUIZER Siufaham jina ila mistari yake ni"dollar kumi kila siku waishia kunibip waongea na nani nikuulizapo huja juu"..Mwenye huo wimbo naomba anitumie [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Natafuta ue wimbo wa miaka ya 90, uliimbwa katika mtindo wa SAKAYONSA
 
Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala

General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
Sio defao alieimba wimbo huu mkuu mm ninao ila sijui jinsi ya kuweka humu nielekeze nikutumie
 
Wakuu mwenye nyimbo za stono musica-mtegemea cha ndugu,msimamo zilizo katika album ya chini ya ulinzi nitafurahi sana nikizipata
 
NATAFUTA WIMBO WA DINI, UNAIMBWA. EEEH BWANA WEWE WANITOOSHAAA, KAMA MILIMA IZUNGUKAVYO YERUSALEMU. WANAITWA THE LIFTER'S BAND.
 
NATAFUTA WIMBO WA DINI, UNAIMBWA. EEEH BWANA WEWE WANITOOSHAAA, KAMA MILIMA IZUNGUKAVYO YERUSALEMU. WANAITWA THE LIFTER'S BAND.
Mkuu.. Huu hapa, but nili record from Redio.. Katambo, ila uko vizuri sana
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…