Me natafuta sana wimbo fulani wa zamani unaitwa sijui " Homa imenirudia"
 
Narudia tena jamani mwenye tule tu nyimbo twa Mch Lusekelo
 
wimbo wa chande- wa tamtam ya muumini na badi bakule tafadhali
 
Kuna wimbo uliimbwa na Mac Dizzo. Nadhan alimuimbia mama yake.

Siukumbuki jina, ila na kumbuka baadhi ya mashairi yake.

"Mama yangu mpendwa, ujue nakupenda saana."

"Nisingeishi, bila yako mama"

"Cha kusikitisha, fadhila siwezi lipa"

"Kila nikiwaza, machozi yananitoka "


Mengine nimesahau. Mwenye nao anisupport kuupata.
 
Kuna msanii wa kitambo anaitwa Ismail, anawimbo wake unazungumzia maswala ya posa.

Kwamba posa yake imekataliwa kupokelewa hadi afike shangazi kutoka Msata, mjomba toka Bagamoyo n.k

Jina la wimbo nimelisahau. Ila pia ameshawahi kushirikishwa na Mpoto.
 
aisee nisaidien nyimbo ya mike t yupo na lady jaydee nahisi inaitwa nyaluland... pls
Talalilalila hii nayokupa ni hali halisi talalilalila sisi na wanyalu tunavyoishi kama ni huu nnao nielekeze jinsi ya kutuma nikupe
 
Ismail ft Banana Zorro - Ombi langu. Pitia uzi katikati huko walishauweka
 
Kuna wimbo sijui uliimbwa na Morogoro Jazz wenye kuzungumzia uhuru wa Afrika, unasema "Uhuru tumeupata lakini una mashaka". Mwenye kuufahamu naomba anisaidiye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…