Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,503
- 6,415
Kwa sasa nipo mbali sana na PC yangu, nina folder huwa linahama tu kwa miaka takriban kumi sasa.Mkuu ligogoma kuna wimbo wa ""K-mondo sound band"" unaitwa ""neli"" duu nimeusaka bila mafanikio lakini wapi, please, please msaada wako Tafadhali.
Nikirudi nchini baada ya kama miezi sita hivi nitacheki, nyimbo nyingi wanazoomba wadau zimo humo na naona hata kasi ya watu kutupia maombi ya watu imepungua sana.
Sijui ndo vyuma vimekaza mpaka kwenye mb??