Kwa sasa nipo mbali sana na PC yangu, nina folder huwa linahama tu kwa miaka takriban kumi sasa.Mkuu ligogoma kuna wimbo wa ""K-mondo sound band"" unaitwa ""neli"" duu nimeusaka bila mafanikio lakini wapi, please, please msaada wako Tafadhali.
Upo humu. Cheki posts za mwanzo.Wimbo huo ameimba General Defao Wimbo unaitwa Kosa
HUU WIMBO MMESHINDWA KUUNG'AMUA AU HAMTAKI KUSEMAKuna ki wimbo nakisikia siku hizi clouds,sijui ni sauti ya Ruby au Nandy Siujui jina lake,wanautumia kama tangazo
Poa poa mkuu ,na kuhusu vyuma kukaza kwenye mb[emoji16] [emoji16] inawezekana.Kwa sasa nipo mbali sana na PC yangu, nina folder huwa linahama tu kwa miaka takriban kumi sasa.
Nikirudi nchini baada ya kama miezi sita hivi nitacheki, nyimbo nyingi wanazoomba wadau zimo humo na naona hata kasi ya watu kutupia maombi ya watu imepungua sana.
Sijui ndo vyuma vimekaza mpaka kwenye mb??
Mkuu ndo ule unaosema ishi na Mimi ukae na Mimi tanzania yangu,kama ni huo ninao,HUU WIMBO MMESHINDWA KUUNG'AMUA AU HAMTAKI KUSEMA
ukiupata nitag kiongoziNausaka wimbo wa Mwiju akimshirikisha Qjay unaitwa 'siwajui mademu' a
Ingie Google search THT covers zitakuja nyingi.Natufuta cover ya wimbo wa adamu alioimba Shusho nauskia sna clouds nmeutafuta nashindwa kuupata
Hapana upo mwingine unamtaja hadi mungu umo ndani,naona ni sasa hivi huoMkuu ndo ule unaosema ishi na Mimi ukae na Mimi tanzania yangu,kama ni huo ninao,
Nitumie no yako nikutunieNautafuta wimbo wa The Mushroom "Nampenda mpezi wangu katu simwachi"
Vipi mkuu kwema,? Hivi wimbo wa k-mondo sound band -neli, nao unao ?Nitumie no yako nikutunie
Aaah! huo ni wimbo wa kabila la wagagagigikoko..Mi nautafuta ule wanaimba,"tiririi talalaa, ntototo tuuuuh.m.mamaa nkararara aleee mmmhh..ale twaaa.
Mi nautafuta ule wanaimba,"tiririi talalaa, ntototo tuuuuh.m.mamaa nkararara aleee mmmhh..ale twaaa.