Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Hahahaa.. Hapana mkuu, huo wimbo naukubali tu, like Leo nimeusikia kwa radio unapigwa, ndo nimezid kuupendaKuna dem umemzimikia nn unataka umtumie ujumbe kupitia wimbo[emoji1] [emoji1]
Nyimbo zote ziko mtandaoni, acha uvivuNatafuta album nzima ya ngwear inaitwa aka mimi
Nimezitafuta Sana sizipati. Kama vipi nipe link nizidownload Mie mwenyeweNyimbo zote ziko mtandaoni, acha uvivu
Nashindwa kuuweka hapaNatafuta wimbo fulani wa kwaya unaitwa Ninavumilia tu