Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Abdul misambano na TOT band..." oooh kakaee usilie na mimi babaaa , mpenzi wako mimi sijamwita eeeh...kaona mambo wew huyawezi ndio kaja kwanguuu"
 
Deo mwanambilimbi feat banana zoro "siwezisema kwanini nliachana na yeye, mapenz yangu nae yalikua ya hadithi"
 
Kuna wimbo simkumbuki jina aliyeimba ila kiitikio kinaimbwa hivi "sio kwamba sitaki demu, ila sijaona mwenye sifa uzuri wako ulionao malaika wangu" ..... naomba unisaidie kama unaweza upata.
 
Naomba kama Kuna mtu ana wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri. Natanguliza shukrani zangu za dhati
 
Jaman,wimbo wa Sam was ukweli,alishirikiana NA Barnaba NA Linex,linex aliimba mwishoni,kionjo kinaimbwa watoto WA mjini kiuno msingibFally pupa,kama MTU anao naomba auweke plz
 
Back
Top Bottom