Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jamani mwenye wimbo- penzi la ndoa nitamu halina kificho.nahisi Caz T naye yupo anaimba na mdada.nautafuta sana
 
Me nautafuta ule wimbo unaimbwa hivi,

"Nani kauona mwakaaa,nani kamaliza mwaka.Ni majaliwa yake mungu kuuona mwaka.................."
 
Naomba wimbo wa soul n faith(washikaji) ulikua unaitwa Msamaha
Cc. blackstarline
 
Kuna nyimbo tatu nazitafuta sikumbk znaitwaje ila maneno baadhi nayakumbuka nyimbo ambazo nilikua nazisikia kipindi mdogo baba yangu alikua akisikiliza.....
Moja ina maneno "bwana nipe pesa watoto wana njaa"

Ya pili maneno yanasema "kwetu ku zaire siku nitarudi nitakula wali wali na shombe"

Tatu ina maneno yanasema "wandugu muwe na huruma wandugu muwe na huruma"
 
Namwingine akinitafutia wimbo huu Mungu ambariki sana.unaimbwa-hoi hoi hoi parapanda italia- ni sauti za wadada
 
Kuna nyimbo tatu nazitafuta sikumbk znaitwaje ila maneno baadhi nayakumbuka nyimbo ambazo nilikua nazisikia kipindi mdogo baba yangu alikua akisikiliza.....
Moja ina maneno "bwana nipe pesa watoto wana njaa"

Ya pili maneno yanasema "kwetu ku zaire siku nitarudi nitakula wali wali na shombe"

Tatu ina maneno yanasema "wandugu muwe na huruma wandugu muwe na huruma"
 
Attachments

Back
Top Bottom