Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Twanga pepeta ukubwa jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twanga pepeta ukubwa jiwe
Me natafuta sana wimbo fulani wa zamani unaitwa sijui " Homa imenirudia"
LIGHTNESS BY TWANGA PEPETA
mkuu habari za mchana mm nilikua naomba mtu mwenye nyimbo zifuatazo; mto wenye mamba wengi mchinga sound, nguzo tano za mapenzi mchinga generation, ndoa ya lazima juma kakere, bana beta beta musica,......
Too late for mama
Duuu mkuu shukrani sana. Ndio huu huu aiseeSijui kama ni wenyewe!
Natafuta wimbo wa saida karoli mkazi wange
Kuna wimbo nausikia sana ukipigwa redioni ila sijabahatika kupata jina lake,ni common sana nadhani atakuwa ameimba Patoranking(Au Mwanamziki wa Uganda) kama sijakosea.
Sina Uhakika na Mashairi yake kama aliimba kiswahili au Lah ila nimesikia kama anaimba "We Party till morning ,Siku nikirudisha Nyuma is Such a beautful woman".