Mweweso
JF-Expert Member
- Dec 6, 2017
- 688
- 755
Wimbo wa enya huo nadhani ni pilgrim,Natafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wimbo wa enya huo nadhani ni pilgrim,Natafuta wimbo flani hvi wa huzuni huwa unaimbwa TBC kwenye kumbukumbu za walioga dunia
respect[emoji106]Huu hapa
Habar chief samahani kama umeshaupata huo wimbo naomba nitumie watsap 0625632532Natafuta wimbo wa siasa, maneno yake ni "YEYE NDIYE ALIYEANZISHA UMOJA WA TAIFA NYERERE,
TUMSIFU KWA FURAHA.....
NYERERE BABA YETU TUNAKUFAHAMU".
Sina uhakika hayo maneno kama nimeyapatia vizuri.
Mbona hupatakani? UngeupataHabar chief samahani kama umeshaupata huo wimbo naomba nitumie watsap 0625632532
Upo YouTube andika hivyo hivyo utauona, umewekwa na mtuu anajiita Mleli sbl umeimbwa na KKT KIMANGAnatafuta wimbo unasema ....ninamjua aliyeniweka duniani
hii nyimbo naitafuta sana hasa video yakealone ifighted by philly lutaaya
Bado MkuuHabar chief samahani kama umeshaupata huo wimbo naomba nitumie watsap 0625632532
nautafuta sana huu wimboNaomba wimbo wa "Ni wajibu kumshukuru Baba Nyerere"
Yaani mwenyewe nshausaka kona zote ila daah imeshindikananautafuta sana huu wimbo
Pitia hii thread wanaJF naomba mnisaidie huu wimbo wa kumsifu baba nyerere alipofariki mwaka 1999 kunitajia hata jina la wimbo kwenye posti namba 31 kuna linki imewekwa na callmeGhost wimbo ambao nadhani mapigo yake kama ya Bongo Flavour ula hauvutii kama ule wenyewe, hata yeye bado anautafuta huu wimbo.Yaani mwenyewe nshausaka kona zote ila daah imeshindikana
Umesema africando me nimejua na nyimbo nyingne ni zipMwenye nyimbo za africando
kaka nashukuru niliuona juzi kati,ubarikiwe wewe na kizazi chako choteUpo YouTube andika hivyo hivyo utauona, umewekwa na mtuu anajiita Mleli sbl umeimbwa na KKT KIMANGA