Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo sikumbuki ali imba nani ila nakumbuka baadhi ya lyrics

Mubembee
Dunia imekwishaaa
Siyo nenooo ni vizuri
Habari nilizo zipata kwako
Ume nikataaa,

Kwa atakaye kuwa anajuwa jina la wimbo au aliye imba naomba anisaidie...
Huo wimbo ni wa Papy Tex unaitwa mpenzi Bupe. Utafute Youtube
 
Naenjoy madikodiko cjui kaimba dg gan una radha wa mchiriku naomba nitumie kama unao bro
 
Natafuta wimbo wa

" Aeeeh Shabani Madobe anataka kumtola imwana, imwana nae kalela, kalela na migulu kabana"

Jina lake limenpotea ilkuwa hit miaka ile ya 2001 enzi hzo niko indian kota mtwara
 
Sisi tumekisha uwasha mwenge,

Tumekwisha uwasha mwesnge , na kuuweka juu ya mlima,
Mlima kilimanjaro"





Mwenye huu plz plz
Naomba
 
  • Thanks
Reactions: ram
Wimbo ninaoutafuta mbona hunipatiiii?

Nimpate wapi wa Richie Longomba akiwa na Jide
 
Back
Top Bottom