Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Watu wanasema kutuma nyimbo hapa jf hawawezi nimeamua kutengeneza group la wats app ambalo watu watakuwa wana request nyimbo za kitambo mwenye nayo anatuma naomba watu wasitume vitu vingine tofauti na nyimbo ili tusitoke nje ya lengo la group nimeweka link hapo chin karibuni sana tu enjoy music mzuri wa zamani Old xkul music
 
Wadau me natafuta wimbo wa k-mondo sound jina skumbuki ila ulikua unaongelea mke wa mtu!!
 
Watu wanasema kutuma nyimbo hapa jf hawawezi nimeamua kutengeneza group la wats app ambalo watu watakuwa wana request nyimbo za kitambo mwenye nayo anatuma naomba watu wasitume vitu vingine tofauti na nyimbo ili tusitoke nje ya lengo la group nimeweka link hapo chin karibuni sana tu enjoy music mzuri wa zamani Old xkul music
Mbona inagoma?
 
Kuna wimbo nausikia kwenye radio siku hizi. Sijui jina ila kuna mtu anaimba kama q chief. Wanaimba hivi:

Eti mimi, watasema mengi tu ...

Wambie kwako nilivyozama ...

Hata shetani hapendii..

Nahitaji jina tu
 
Kuna wimbo wa old skuls mshikaji anaimba kwenye chorus kitu kama Love session/tension!

Nisaidien wakuu.
 
Nash mc-mitihani.

Kama kuna mdau wa hip hop naomba anaisaidie
 
Huu uzi hauna tena msaada. Naona requests ni lukuki kuliko feedbacks.
Ndio-ndio,
Labda huenda watu wanazo kweli lakini wanashindwa kupandisha kwa uzi(utaalumu unakuwa mdogo kuweka wa wimbo hapa kwa uzi)
 
Natafuta wimbo wa

" Aeeeh Shabani Madobe anataka kumtola imwana, imwana nae kalela, kalela na migulu kabana"

Jina lake limenpotea ilkuwa hit miaka ile ya 2001 enzi hzo niko indian kota mtwara
Segere iyo muimbaji sijui
 
Back
Top Bottom