Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wimbo Wa naona mambo iko huku Wa Nasma khamis walipokuwa wanachanana na Kopa
 
natafuta nyimbo za band ya nina musica na ile band ya oldivai band album ikiitwa baba kaleta panya kuna kitu kinaitwa house girl ndan mule
 
Kuna kwaito fulani niliisikia nikaipenda kweli, ila ndo hivyo siijui inaitwaje lakini kuna sehemu anaimba mwanamke sauti yake inafanania na ya Tiwa savage katika nyimbo ya Africa rising
Anayeifahamu aniambie jina la wimbo na nani wameimba
 
Naomba mwenye nyimbo hii ya Hussein machozi ,ya kitambo kidogo unaenda verse ya Hussein :baby nionyeshe kama unanifeel mama onyesha ulimwengu kama upo na Mimi, mwenye ako na wimbo wadau nipe link tafadhal .
 
Young dee - Bbm
Diamond platnumz ft omarion - African beauty
Ray vanny ft nikki wa II - siri.

Diamond platnumz ft Rick Ross - waka waka

Diamond platnumz - Eneka.

Wiz kidayo - ojuelegba.

Drake champagne pappi - god's plan

Flex god daps - fall in.
[emoji4] [emoji441] [emoji444]
 
"Sina hela,kamaunvyoona mpenzi,..ndo maana nimekuchagua wewe uwe wangu maishani.,.wazuri wako wengi ila sikuona mwenye sifa nikakuchagua wewe,..VERSE,.. Siku ya kwanza kukuona ilikua kwenye party,..niliagiza bia we ukaagiza pepsi,ukasema hunywi bia sababu bado denti,.."
Wimbo wakitambo kidogo wa bongo flava kuna mtu anaimba then kuna mtu anachana..,ka kuna mtu kaujua naomba jina la wimbo na msanii alieimba or link ya wimbo.
 
Back
Top Bottom