Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
wakuu mwenye wimbo unaitwa tulia uliimbwa na Jackie Marie naomba.
 
Wakuu habari

Msaada natafuta wimbo wa snop lee -namba ya simu

Mwenye nao naomba auweke hapa nitashukuru sana kuupata
 
Natafuta wimbo wa Fid Q wa August 13. Mwenye link anisaidie.
 
Hiyo ngoma ipo youtube inaitwa Neema imeimbwa na Bima Lee Ochestre wana Magnet Tingisha.
Sikutaka ku-comment chochote zaidi ya ku-like na kushusha TRAXX tu ila huyu jamaa ametisha sana na hiyo "tululu taaa".

Ila kwa kuwa tumelelewa na music tumeshamsoma na kumpatia anachohitaji hapo juu aisee.

[emoji1375]
 
Back
Top Bottom