Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Haya Haya Haya wakuu
Nipo hapa kwa shida moja tu.
Naomba huu WIMBO

1.LES WANYIKA_KASUKU.


BOOOOOOOOOOOOM

Pamoja wakuu.






Kioo
Idimi
Gwankaja
 
Kuna wimbo nautafuta, nahisi ni wa memo, unaitwa kuparty, una mahadhi ya kizulu hivii, chorus yake inaimbwa...

"Watu wanataka kucheeza, wanataka kupaarty; (kupaarty)×4"

Verse 1
Hey mr dj, hakuna kudelaaaay, man.
Amsha mizuka watu watu buoom boom, tupartyyy;
Amsha popo, amsha po-popooo;
Amsha po, popooo amsha popo...;

Maneno mengine siyakumbuki...
Wimbo naupenda sana..
 
Mwenye wimbo wa Gorilla Killers(Pingu na Deso) unaitwa Eeh Mola...

Chorus inaimba...

Eeh Mola tusamehe madhambi..
Hapa duniani binadamu hatun chetu...
eeh mola tusamehe madhambi yetu..
 
Back
Top Bottom