Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
KIOO kuna ngoma moja ya watu pori tusameheane sijui kama ishaweka humu..msaada tafadhali..ina kiitikio Fulani hivi *Tafadhali ndugu yangu usinichukie..
Msela Ngwea ft Juma nature and KR mullah
Please forgive me- P funky ft Dully Sykes
Katika kila jamii- Bamboo wa kenya katumia beat ya Msela ya Ngwea
 

Attachments

Jamani kuna huu wimbo, ni wakitambo hvi.. Miaka kama 2007,2008 ilibamba sana.. So naomba jina
la wimbo na wasanii waloimba, maana yupo Boy na girl..
Nafahamu kiitikio tu cha huyo girl
"Mwenzio naogopa.. Naogopa nitajikata mie.. Huuuuu uuuuumama"
Jamani, hz ni fani za watu me siwezi kuimba ila nadhan mtakuwa mumeupatapata huo wimbo..
hicho kibao kinaitwa "asali" ..artist Dr kareem
 

Attachments

Kaka unajua ile inaenda NIMEMFUKUZA MCHUMBA WANGU ETI KWA SABABU YA BINTI AMETOROKA KWAO ANA SIKU SABA nikipata hii itapendeza Asante
Ametoroka kwao ana siku saba polisi wamefuata mara saba, binti huyo amekuja na barua mkononiiiii kutoka kwa wazazi
Mpokee huyo ni mali yako, tumelipa mahali kwa ajili yako....... DAAAH OLD BWANA was aweresome
 
gwankaja na mkuu KIOO please dondosheni pini moja matata kaimba Dark Master ft Mangwea-Bifu na hela kama sijakosea producer akiwa P-Funk Majani,sehemu ya chorus '...nakusaka wewe cuz nina bifu nawee'''

Pia Sna Lee ft Ngwair-Ratiba zetu,produced by p funk.
 
HUO WIMBO WA KOMBA MGENI UMESHAWEKWA HUKU SIKU NYINGI TU TAFUTA POST ZA KUANZIA NO- 500 KUENDELEA.
 
Habari za asubuhi wakuu.
Tafadhali naomba hii nyundo.

Juma nature_Mugambo

Natanguliza shukrani wakuu.




Gwankaja
Kioo
Idimi
 
Back
Top Bottom