Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Wakuu kuna ngoma waliimba Jay Moe+Ferooz+Matonya... niliisikia mara moja redioni.. mwenye nayo naiomba...

Mpenzi kwaheri ya Jay Moe na TID bado naitafuta...

Pia kuna ngoma ya Dan Msimamo inaitwa Kukosa hela... hii ilikuwa kwenye album yake ya kwanza..

Unaitwa nani ya Q chief ft Solo Thang Naiomba pia...
 
Naomba hizi nyimbo za MWANA FA

1.Mabinti
2.Hawajui
3.Unanitega
4.Sikiliza featured by Ngwear
5.Nangoja Ageuke
6.Ungeniambia
7.Bado Nipo Nipo
8.Yalaiti
9.Kiboko Yangu
10.Basi Aje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba hizi nyimbo za MWANA FA

1.Mabinti
2.Hawajui
3.Unanitega
4.Sikiliza featured by Ngwear
5.Nangoja Ageuke
6.Ungeniambia
7.Bado Nipo Nipo
8.Yalaiti
9.Kiboko Yangu
10.Basi Aje

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nianze na hii niliyoitoa humu, hizi AJE na ASUBUHI naona zimegoma kupanda
 

Attachments

Kaka tafadhali nichekie ngoma hizi;
1. Ukweli utabaki palepale-Akili Tribe
2. Dr. Leader' Ukimwi
3. Two Proud- Ndani ya Bongo
4. Makole Hexagone- Kwanini
5. Wajelajela Original-Jimmy Chocolate
6. Sarafina-Tot Plus
7. Nyimbo yeyote ya Twanga pepeta yenye rap inasema "cheza kiboli kiboli" dada funika mapaja yako"


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom