Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta huu wimbo jina silikumbuki ila kuna mashairi yanaimba hivi-
"gari langu gari langu limeisha mafuta,
gari langu gari langu wee limeisha mafuta,
nataka kwenda nyumbani kwetu nikajenge nyumba,
nikajenge nyumbembeee nyumba ya ghorofa.
nikajenge nyumbembeee nyumba ya ghorofa.."
ilikuwa inapigwa sawia na nyimbo za kina Ghato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimerudi na maombi mengine
1. Gauni ya kijani - kuna matonya humo ndani
2. Wimbo flani nahisi unaitwa Mbalamwezi wa pale THT, lakini kuna maneno kama haya “nikipata nauli, nitakuja kuona baby mama na mtoto” ni jamaa flani alimuacha mkewe na ujauzito akaenda masomoni
3. Maria salome na Akatambala - Saida Karoli
4. Cool James mtoto wa dandu, wimbo wowote ulionao.
5. Ningemlilia mama - Manyema band (au kama kuna original zaidi ya hiyo naiomba).

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wa Manyema Band Sina
 
Attachments

Niaje mwanangu!!
Nimecopy track kadhaa za Jaguar hapo juu. Thanks

Je naweza pata ile ngoma ya USIJE MJINI!?
Nadhani nao ni Jaguar haohao, waliifanyia remex ya mnanda ngoma ya Fa na Ay.

Pia JUDY MPENZI Snooplee ft Juma nature.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

John Delinga Matlou (DJ JD) alikua akihudumu U DJ pale Radio One. One of his best session in his career ilikua kipindi cha "The Heat". Kipindi hiki kilikua kikiruka hewani kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi, kilianza kila Ijumaa but wakaongeza na Alhamisi pia sababu ya maombi ya Wasikilizaji. Jingle iliyokua ikiendesha hicho kipindi ndio nayoitafuta.

Sina uhakika kama ni Instrumental ya wimbo mmoja au alimix nyimbo mbalimbali, maana jamaa nae kwa ku mix yuko njema. Those days nilirekodi kwenye kaseti, but ilishapotea.

Msaada wahenga wenzangu.
 
Niaje mwanangu!!
Nimecopy track kadhaa za Jaguar hapo juu. Thanks

Je naweza pata ile ngoma ya USIJE MJINI!?
Nadhani nao ni Jaguar haohao, waliifanyia remex ya mnanda ngoma ya Fa na Ay.

Pia JUDY MPENZI Snooplee ft Juma nature.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi hapa man. Enjoy
 
Attachments

Back
Top Bottom