Amaizing Mimi
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 489
- 1,102
mi naomba wimbo wa jamaa flani hivi anaitwa NANI na wimbo unaitwa GITAA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna wimbo inaimbwa "anayonga yonga yo, anayonga yonga yo ×3 na kuendelea" jina silifaham ila ni bolingo ya muda kidogo, kama unayo naomba nisaidie mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nivute kumbukumbu ya jinaMkuu nimeangalia hiyo kwenye maktaba zangu nimeshindwa kuijua labda kwa sababu ya jina kiongozi.
Huo wimbo wa madilu system sakua you tubeMkuu nimeangalia hiyo kwenye maktaba zangu nimeshindwa kuijua labda kwa sababu ya jina kiongozi.
KIOO habari,tafadhali natafuta audio ya K,Lynn ft Mr Blue Nipe mkono
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaimba hivi..Kuna wimbo wa kwaya kuu kimara nadhani unaitwa Ingia furahani, nautafuta mwenye nao please auweke hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani itakuwa dedication hiyo mkuu. Si eti...?
Ndo huo mkuu. KIOO msaada hapa..Unaimba hivi..
Katika njia ya injili iendayo juu mbinguni natembea tembea na bwana kila siku... ninatembea tembea tena hima nina kaza mwendo.. nifike nifike kwetu mbinguni salama . Nina sikia sikia sauti yaita ni yake bwana ingia furahani kwake bwana...
Ndio huo??
Natafuta album hii asee sijui nitaipata wapi. Wameimba kkkt kimara.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk