Naomba wimbo wa Tanga International unaitwa Mpenzi Roza. Ni wa siku nyingi miaka ya 80 na huenda jina nimekosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninazo ila natumia app sina PC hivyo siwezi kutuma, kama upo tayari nitumie namba yako ya WhatsApp ukiniambia na majina ya nyimbo ambazo unazitaka. Nitumie kupitia PM.Mwenye nyimbo za mchiriku jamani, hasa kundi la gari kubwa , Topaz, au Dar nyota, nyimbo kama 'yuko wapi mama' ' baba asha' ' saa' n.k
Hata mm nautaka niwezesheKuna mdau alikuwa anataka wimbo wa Mr nice Friday night kama bado ajaupata anitafute whatsapp 0762207311
Sent using Jamii Forums mobile app
anaitwa Zakayo ft alikibaKuna wimbo jina la msanii simjui jamaa kaimba hivi
pesa na majumbaaa ni vitu vya kutafuta si utemi wala ndumbaa utakuja kuumbukaa ona mama yako umemzika hata baba yako umemzika oooooiiiii umebaki loneeely chanelten walikuwaga wanaupiga sana kwenye kipindi cha vmix Tumbo mwingine gari ya Mr mjomba ft child Benz rmx na og version.
Waptrick zipoKamanda kuna ngoma naisaka ya Roho zinawauma Mr Blue na Sema ya mr Blue
Kama unao nitumieanaitwa Zakayo ft alikiba
KUNA MDAU ALIOMBA WIMBO WA EXTRA BONGO DOUBLE DOUBLE ASHAUPATA AU BADO KAMA BADO ANITAFUTE