Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo mmoja uliimbwa kwenye tamthilia ya cobra squad zamani hio
Nautafuta sana... Baadhi ya mistari "Mungu aliumba usiku saa ya kulala, walimwengu wamegeuza mipango..... " zubaa zubaa utakuta mwana si wako.."

Aisee mwenye nao anitumie
 
Habari za leo wakuu .

Nina shida na wimbo mmoja hivi jina silikumbuki vizuri ila kwenye Chorus wanaimba "Hodiiii , tufungulieni , sisi yatima twahitaji upendo :

Humo ndani yupo Irene Sanga ,Mrisho Mpoto na jamaa mmoja hivi jina limenitoka katika kundi lao la Parapanda.

Wimbo ni wahuzuni Fulani hivi kuhusu yatima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu KIOO
Msaada tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo fulani hivi ila sina uhakika unaimbwa ILOVE THE WAY ILOVE THE WAY SINGER SINGER GIRL
Walioimba ni JAFFARAI NA MAD ICE
WIMBO MWINGINE JAFFARAI FT BANANA ZORRO ANANIPENDA MI
 
Kuna wimbo wa Mr ebbo anaimba hivi moja jumlisha moja unapata 11
2001 tuwe kitu kimoja mwenye nao tuwezeshane ili buffer zipate kazi
 

Attachments

Huo wimbo beat yake ni tamu fulani hivi ilikuwaga inapigwa sana kipindi cha watoto RFA siyo hii mkulu wangu
 
Back
Top Bottom