Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna wimbo professor jay wa mapenzi.anaimba anasema "Unampa lift nyani me unaniacha njian" naomba mwenye nao
 

Aksante sana tena sanaaaa mkuu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ashura mimi najuta mwenzenu kweli najuta sasa,
Visa ninavofanyiwa na bwana huyu nimeamini methali isemayo mkataa pema pabaya panamwita.
:Nisaidieni unaitwaje huo mwimbo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom