Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Jamani naombeni kibao cha Ray C - Wanifata nini!

Inaimbwa "Ulinikataa bila sababu...sasa wanifata fata wanini....nimepata mwingine tabibu...sasa wanitakataka nini!!!
KIOO et al.
 
Haya wadau lile goma lililoombwa sana hapa jukwaaani la Mr. II (Sugu) Feat. King Kiki ndio hilo nimelipandisha. Kazi kwenu sasa. Cha ajabu mimi mwenyewe nimeliomba humu wakati kumbe ninalo kwenye audio CD moja niliyoichoma 2004 huko. Katika kupekua kwenye hifadhi yangu ndio nimelikuta.
 

Attachments

Mkuu napenda nitumie mda huu nikushukuru sana tena sana,wimbo ni wenyewe nimehangaika sana kuutafuta bila mafanikio nimeamini JF ni mwisho wa maelezo.Wakati nausikiliza sahvi nimelengwa na machozi maana unanikumbusha miaka hiyo demu wangu alikua na ujauzito wangu bas nikawa nazuga mm ndo Andrew G full kubana pua mtoto anaishia kucheka,Asante sana mkuu
check na huu
 
Kuna wimbo flan wa jamaa kutoka kenya nadhan simjui jina ila kwenye chorus kuna maneno anasema" sasa baby gal,nimekutafuta na shida...." afu anakua anaimba neno moja moja hivi,kama kuna mkuu yoyote ashaujua na anao naomba msaada tutani.
 
Kwenye Cover wahindi walitumia kupigia Doo maan waliweka cover la Wanamuziki wakuitwa Provebial lakini ukiwapata hao provebial hizo nyimbo Hazipo. Huwa nahisi labda ni wakina senzo sijui. But ukiikosa next week nitakuwezeshea hapa hapa na wengine wenye kuzihitaji wazipate.
Asante Sana mkuu Sasa nitapataje jina kamili la album ili nifanye juhudi nipate full album au Kama ukiwa fresh itupie humu pls mkuu.
 
1.Mr Afisa wa Squizer na Dataz
2.Sikutaki Tena Dataz na Soggy Doggy
3.Mtoto wa Marehem wa Soggydogg
4.Safari na Njoo zote za Feruzi wa Daz nundaz




Pia kuna nyimbo kashirikishwa Dully sykes kwenye chorus..
"Nakusihi, rudi nyuma njoo uishi nami
makosa niliyoyafanya sirudii......

Verse
Kwenye life si sawa, live naugua, jinsi nilivyopagawa we hauwezi kujua, wewe kwangu ndio dawa we mwenyewe unajua akili bado si sawa ninusu yakujiua.....

Nisaidieni sana yaani verse zote nilizikalili ila jina la wimbo silijui.
 
Bado Sijazipata
Nazitafuta.
linex na wayname - Maumivu
Matonya - Uaminifu/Mrembo
swahili by nature - Ohe Hae.
t block solgers - (jina nimesahau)
maprosoo - waimbaji siwajui
soggy dog - mtoto wa marehem na ile yupo na dataz - sikutaki tena.

album.....
swahili by nature
mabaga fresh mtulize
ay
zig zag crue


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Cover wahindi walitumia kupigia Doo maan waliweka cover la Wanamuziki wakuitwa Provebial lakini ukiwapata hao provebial hizo nyimbo Hazipo. Huwa nahisi labda ni wakina senzo sijui. But ukiikosa next week nitakuwezeshea hapa hapa na wengine wenye kuzihitaji wazipate.
Asante Sana mkuu wangu
 
Back
Top Bottom