Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Asante mdau.....naomba sebene la werrason ukiwa unasikiliza zenith pale mwisho ikiisha inaunganisha na sebene lingine palepale ni kila kinyama ila sijui linaitwaje sasa na ndio nalihitaji
 

Attachments

Kuna nyimbo zilikuwaga na video ila nikienda youtube najuta cover tyu kama banza stone elimu ya mjiga kina viwete wanacheza hatar, kuna crazy t lekambuke yuko na dokii,kuna mr Paul nakuzimia yuko na demu wa kihindi
Huu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.

View attachment 628965

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Mr Afisa wa Squizer na Dataz
2.Sikutaki Tena Dataz na Soggy Doggy
3.Mtoto wa Marehem wa Soggydogg
4.Safari na Njoo zote za Feruzi wa Daz nundaz




Pia kuna nyimbo kashirikishwa Dully sykes kwenye chorus..
"Nakusihi, rudi nyuma njoo uishi nami
makosa niliyoyafanya sirudii......

Verse
Kwenye life si sawa, live naugua, jinsi nilivyopagawa we hauwezi kujua, wewe kwangu ndio dawa we mwenyewe unajua akili bado si sawa ninusu yakujiua.....

Nisaidieni sana yaani verse zote nilizikalili ila jina la wimbo silijui.
 

Attachments

Kuna nyimbo zilikuwaga na video ila nikienda youtube najuta cover tyu kama banza stone elimu ya mjiga kina viwete wanacheza hatar, kuna crazy t lekambuke yuko na dokii,kuna mr Paul nakuzimia yuko na demu wa kihindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

Wadau kuna wimbo wa kitambo sana ambao ni wa mambele (europe na America) unaimbwa kama mtu ananong'oneza hiv
Siujui jina ila ni kolabo kati ya juliana na mtu mwingine
Video ni mazingira fulani hiv ya Beach ambayo kila mtu anaanza safari kivyake wanakutana Beach, sina uhakika kama wale wa kwenye video ndio waimbaji wenyewe maana hawaimbi kabisa
Msaada wenu please
 
wakuimba au rap... kama rap jaribu Jose Mtambo- Binti
Kuna wimbo flan kama zouk, unaimbwa "Samahani dada jina lako nani, mbona uko hapa unamsubiri nani, alichonijibu dada huyu kwa kweli kinasikitisha sana, ni upweke unaomsumbua" Idimi gwankaja na wengineo wengi tafadhali nimeutafuta sana naomba mwenye,nao
 
Dah... Nimekubali kaka, vipi una weza kuwa na mixtape iliyokuwa na wimbo huo iliyotolewa na FM Studio?
 
Back
Top Bottom