Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo Wa SIKUTAKA by Unique sisters Original version siyo ule walioimba na Dudu baya
 
Wakuu,hongereni sana kwa uzi kama huu,kuna baadhi ya nyimbo nazitafuta zikiemo
1.long distance lover-jay mo ft domokaya
2.mtoto wa raisi-qchief
3.ukibebwa jishkie-crazy buffa ft banana
4.nyimbo zote za war will!
Naomba kuwasilisha.
 
GK MAMA

Na Ukongwe wangu huu kwenye muziki ila huu wimbo sikuwahi kuusikia kabisa.Nilikuwa mfuasi wa ECT ila huu sikuwahi usikia kabisa.Kwanini? Au ni nyimbo za kwenye album ?

Nimeupenda sana hasa aliposema mwaka 93 aliugua kipindi yupo boarding Mbeya na mama yake alilala chini kumuuguza.
Upo kwenye album
 
Habarini wadau!? Naomba mwenye wimbo "Vituko Uswahilini" (remix) wa Suma G na Inspekta Haruni aupandishe jukwaani.
 
Back
Top Bottom