Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Naomba wimbo flan unaimbwaga "iyee lelele mama, ye lele mama x2
Afu wanaenda nataka kurudi kwetu kwa baba na mama "
Waliimba pia kwenye msiba wa ruge..
Plz
 
Nashukuru kila kuna ngoma mpya IPO kwenye album yake aliyoitoa juz unaitwa beti ngoma hii inazungumzia ish ya korosho mtwara nisaidie broo
 
Mkuu kuna wimbo unaitwa DEMU WA NGONO nadhani kama unao nauhitaji wameimba nadhani mwanaume na mwanamke
 
Kuna wimbo wa O-teni unaitwa mimi,nimeusaka kuupakua nimeukosa kabisa mwenye nao jaman anisaidie
 
Back
Top Bottom