Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Usije mjini!
Kibabu cha maajabu! Na zingine kadhaa za Juma Mpogo!!

Na pia wimbo wa Q-chief mdau kasema unaitwa naanzaje!!
 
Attachments

Attachments

Attachments

kuna nyimbo fulani mbili za bongo fleva nilikuwa nazisikia sana 2004 sijui nani aliimba
mmoja unataka kufanana na ule nampenda kikongwe lakini kwenye mashairi yake kuna sehemu anaimba "Nimedharauliwa sana.." pia mwingine sehemu ya mashairi yake inasema "mama yake amesema niachane na mwanae na mwanae bado anasoomaaa eeh" na wa mwisho ni huu hapa chini.Nataka kujua unaitwaje na nani kaimba
 
Kizz Daniel - Yeba (huo wa kwenye. Video)
kuna nyimbo fulani mbili za bongo fleva nilikuwa nazisikia sana 2004 sijui nani aliimba
mmoja unataka kufanana na ule nampenda kikongwe lakini kwenye mashairi yake kuna sehemu anaimba "Nimedharauliwa sana.." pia mwingine sehemu ya mashairi yake inasema "mama yake amesema niachane na mwanae na mwanae bado anasoomaaa eeh" na wa mwisho ni huu hapa chini.Nataka kujua unaitwaje na nani kaimba
View attachment 1151598
 
Kioo
Kuna nyimbo kaimba dataz na q chief ni zamani kidogo kjma sehem wanaimba ....dataz natawala nyota njema imeng'ala ....

Ebhana kama unayo naiomba nahis ilikua ni ya 2002 kama ckosei
 
Nilishaiweka humu mkuu.
 
Back
Top Bottom