Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mkuu kwema naomba lisemwalo ngoma Maalim Gulumo pls muhimu...
 
Jamani mwenye nyimbo za bendi moja ya dance iliimba nyimbo km shangingi ameniacha hoi na mbio za sakafuni huishia ukikongoni.Nakumbuka enzi hizo sisi tulikuwa tunaiita kata kiu ya dance ila sidhani km hilo ndilo jina halisi la bendi hio.
da ukiipata hii naomba nishtue albamu ilkua inaitwa KATA KIU
 
Mwenye wimbo ule uliokua unaoneshwa ITV kipindi cha hawavumi lakini wamo WAZAZI WANGU BABA NA MAMA MNANIAIBISHA KILA SIKU KUGOMBANA GOMBANA.... SIO VIZURI!
 
Wakuu habari,,,,, msaada wa hizi nyimbo:-
1. Another day in paradise by brandy feat rey jay
2.Time after time by Cindy lauper
3.Sometime the snow comes down in dew by Vanessa William
 

Attachments

Back
Top Bottom