Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaitwa todiiNatfuta wimbo ule uliokuwa unapigwa radio Tanzania ktk kipindi cha wagonjwa hospitalini please natanguluza shukrani
Natfuta wimbo ule uliokuwa unapigwa radio Tanzania ktk kipindi cha wagonjwa hospitalini please natanguluza shukrani
Unaitwa mateso umeimbwa na tumogile bandUnaitwa Huruma kwa wagonjwa
nadhan umeimbwa na wale ottu jazz
Naombeni huu wimbo
Vipi mkuu wewe ulishawahi kuusikia huu wimbo?nadhani huyo atakua munishi
Sawa mkuu pia nawe ukiupata usinisahauAise umenikumbusha mbali sana na hiyo ngoma.Ukiipata nishtue namimi.