Jamani mwenye nyimbo za bendi fulani ya kitambo waliimba nyimbo zenye mashairi km haya "'" "" """"Mbio za sakafuni huishia ukingoni bwanaa.. heri ya kutangulia sio kufika haraka haraka sikuzote haina baraka x2, wenzio walikutazama wakakuona wakuja wakaamua kukuacha uendeleee.. walijua utashindwa bwanaee.. walijua utashindwa mamawee.. walijua utachemka mambo ya kata kiu sio mchezo."""" "" "" "" "" na wimbo mwingine mashairi yake ni haya "" "" "" "" "" mke wa kuoa usimwangalie kwa sura sio gar sio pesa sio simu bali ni tabia woh woh woh woh woh x2, wanapokuja nyumbani nduguzangu shangingi anakasirika yoyo maji ya kupikia anageuza ya kuogexhea watoto oooh yoyo mashangingi, wengi tunajua walio olewa na mashangingi mwisho wake walifukuzwa km mbwa popo. "" "" "" ""Msaada jamani