Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Natafuta wimbo unaopigwa na kituo cha redio one katka kipnd cha wanawake na maisha mwenye nao tafadhari
 
Kuna wimbo nadhani umeimbwa na king kikii ila sikumbuki vizur. Unaimbwa kupitia chalinze mbalizi na maeneo mengine anayataja mwenye nao
 
Natafuta Wachuja nafaka-wachuja nafaka ulikuwa ni motooo
 
Kuna wimbo kibwagizo chake husema 'kama sio juhudi zako nyerere"nimeutafuta sana huu wimbo/kibwagizo... Msaada tafadhali.
 
wimbo :sinyorita

muimbaji simfahamu ila lugha iliotumika ni kiswahili
 
Nyimbo nazozisaka bila mafanikio

Tulia nami-Akili tribe
Week end-G Solo ft k bazil
Album nzima ya nje ya bongo ya Mr 2
Kipi kikusikitishacho-CBM CREW
Afande anasema-Afande Sele
 
Back
Top Bottom